Ezekiel 38:13

13 aSheba na Dedani pamoja na wafanyabiashara wa Tarshishi na vijiji vyake vyote watakuambia, “Je, umekuja kuteka mateka? Je, umekusanya makundi yako ya wajeuri ili kuchukua nyara mali, kutwaa fedha na dhahabu, kutunyang’anya mifugo na mali na kuteka nyara nyingi zaidi?” ’

Copyright information for SwhKC